KCPE Made Familiar: Kitabu cha Mazoezi ya Kiswahili 1990-2021(New Edition) by Grace Akinyi and Ongoro Odhiambo
KShs1,000.00 KShs700.00
Kitabu hiki cha mazoezi ya Insha kimeandaliwa mahsusi ili kuwasaidia wanafunzi katika shule za upili kudurusu na kuelewa kwa undani mada inayofunzwa darasani kwa kujibu maswali yaliyo katika kitabu hiki kutoka katika hiyo mada.
Kwa njia hii, kitabu kitawasaidia wanafunzi kutambua kile wanachofunzwa darasani na K.C.P.E.Kitabu hiki pia ni chenye manufaa makubwa kwa walimu ambao wangependa kuwaonyesha wanafunzi wao jinsi maswali huulizwa katika mtihani kwa kuzingatia mada mbalimbali.
Kitabu hiki kina maswali kuhusu mada zinazofunzwa katika darasa cha 4, 5, 6, 7 na 8. Pia kuna dhana – mseto ambazo zinafunzwa katika darasa chochote. Majibu yaliyo baada ya maswali yanakusudiwa kumnoa na kumsukuma mwanafunzi kufaulu kwa kujisomesha mwenyewe (kuwa mwalimu wake binafsi).
- Description
- Shipping
- Reviews (0)
- Vendor Info
- More Products
Description

Be the first to review “KCPE Made Familiar: Kitabu cha Mazoezi ya Kiswahili 1990-2021(New Edition) by Grace Akinyi and Ongoro Odhiambo”
Vendor Information
- Store Name: Nuria Kenya
- Vendor: nuria
-
Address:
The One Building Ground Floor
Moi Avenue
Nairobi
Nairobi County
+254
Kenya - No ratings found yet!
-
Add to basketQuick View
-
Add to basketQuick View
-
-5%Add to basketQuick View
-
Add to basketQuick View
-
-5%Add to basketQuick View
Reviews
There are no reviews yet.