Showing 721–740 of 20714 results

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Mwongozo...

KShs340.00

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

n

Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:

n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n

Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Mwo...

KShs515.00
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. n nVitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
  • Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na
  • n
nMwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi. n nOxford, chaguo lako!"

Let’s Do Mathematics Activities...

KShs355.00
Let's Do Mathematics Activities is a new series specially written to provide practical experiences that support acquisition of numeracy skills for the new competency-based curriculum. The books in the series provide a wide range of activities that the learners will find exciting and motivating. These activities are aimed at acquisition of the core competences, values, and pertinent and contemporary issues (PCIs) as outlined in the curriculum. n nThe Teacher's Guide is designed to help the teacher to successfully deliver the new competency-based curriculum through: n
    n
  • A detailed introduction to the new competency-based curriculum.
  • n
  • A detailed teaching framework to help the teacher spread the lessons in each sub-strand throughout the year.
  • n
  • A detailed teaching sequence to assist the teacher to plan and develop each lesson.
  • n
  • Helpful hints on class management, group work and differentiated learning.
  • n
  • Guidance on formative and summative assessment strategies.
  • n
  • Extended activities to help the teacher enrich the learning experience.
  • n
nTogether, the Learner's Book and the Teacher's Guide provide learners and teachers with all they need to succeed in the new competency-based curriculum.

Swahili Readers: 2f – Mwanasayansi

KShs200.00

Mwanasayansi 2f ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la pili katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Tami anataka kuwa mwanasayansi. Atafanya nini ili afikie ndoto yake?

Swahili Readers: 2e – Kesho! Ke...

KShs215.00
Author: Ahmed Hussein ISBN: “9780195734546”

Swahili Readers: 2d – Mgeni njoo!

KShs215.00
'Mgeni njoo!' ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Kwanza katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi.
  • n
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, tanakali za sauti, kichekesho na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani, malezi, utoto, afya, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, haki za watoto na kuishi kwa utangamano.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 2c – Werevu wa...

KShs215.00
'Werevu wa Jumo' ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Pili katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • n
  • Hadithi mbili zenye kufunza utumiaji wa akili.
  • n
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia vichekesho, mafumbo na sentensi fupifupi.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira tofauti tofauti.
  • n

Swahili Readers: 2b – Kipengo

KShs215.00
Author: Pamela Ngugi ISBN: “9780195730593”

Swahili Readers: 2a – Sungura M...

KShs215.00
Author: Islam Islam ISBN: “9780195730586”

Little Amu and the Kobole

KShs460.00
Author:  ISBN: “9780195727173”

NPPE: RS.2w – Bitter Sugar cane

KShs215.00

The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.

n

The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.

NPPE: RS.2v – The lost Money

NPPE: RS.2u – Look, a Baby!

NPPE: RS.2t – I Stand Tall

NPPE: RS.2s – Flat on the Floor

NPPE: RS.2r – Down on its Side

NPPE: RS.2q – Out of the Bush

NPPE: RS.2p – Lazy Milo

NPPE: RS.2n – A Bump on the Head

NPPE: RS.2m – No More tricks