Showing 61–80 of 101 results

The Evolving World History Teacher...

KShs300.00
Author: Felix Kiruthu et al ISBN: “9780195731293”

Certificate Secondary Geography Teach...

KShs370.00

The Certificate Geography series takes the learner on an exciting
journey through the captivating world of geography. The series is written
by a team of subject experts, and comprehensively covers the geography
syllabus for secondary schools.

n

This Teacher's Book for Form 1 is an invaluable resource for enabling
the teacher to adequately instruct the learners as they discover the world
of geography. It comprehensively tackles the teaching methodology for
geography while offering practical guidelines to the teacher on how to
effectively tackle each topic. Various insightful tips on assessment and
evaluation are also given. Lastly, it provides suitable guidelines for the
answers to the revision exercises in the Student's Book.

n

Other books in the series:

n
    n
  • Certificate Geography Form 2 Teacher's Book
  • n
  • Certificate Geography Form 3 Teacher's Book
  • n
  • Certificate Geography Form 4 Teacher's Book
  • n

Biology Today Teacher’s Book 1

KShs375.00
Author: Peter Kariuki et al. ISBN: “9780195742695”

Chemistry Today Teacher’s Book 1

KShs415.00
Author: Njeru et al. ISBN: “9780195742619”

Head Start Secondary English Teacher&...

KShs460.00
Author: David Njeng’ere et al ISBN: “9780195742350”

A new Dawn

KShs500.00
“A New Dawn” is the story of a society rising from the ashes of ethnic turbulence. It is the drama of a society that is still reeling from the aftershocks of conflict. Mama Nuru is convinced that change is the only way forward and that the ordinary people should be the drivers of that change. But can the society embrace the new gospel, or will they cling to the ‘tried and tested’ old order?

Musa na Shamba la Shule

KShs460.00
Wazo la kuanzisha shamba la shule linawafanya wanafunzi wa Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen kuandaa mgomo baridi. Kwa madai yao wenyewe, wako shuleni 'kusomea mitihani' wala si kuwa mashokoa wa mwalimu mkuu, Mzee Mukibi. Hata hivyo, hakuna aliye tayari kumkabili mwalimu mkuu kwa kuhofia kuonekana muasi. Masaibu ya Musa na marafiki zake yanazidi kufuatia 'kutoweka' kwa nguruwe dume, na kuku sita kuibwa. Mwalimu mkuu naye ameapa kufanya juu chini kuwanasa wezi.

Musa na Bahati Nasibu

KShs460.00
Musa na King Kong wanakumbwa na uhitaji mkubwa wa pesa. Ili kukidhi haja hii, wanaibuka na wazo la kuandaa mchezo wa bahati nasibu. n nMusa analazimika kutafuta zawadi ya kushindaniwa katika shule yao, Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. n nIngawa wanafanikiwa kupata zawadi - gari kutoka kwa Nick Molo - mchezo wao unakumbwa na mashaka. n nKwanza, mwalimu mkuu, Mzee Mukibi, anawapokonya tiketi za mchezo. Kisha, inabainika kuwa gari lenyewe ni la kuibwa. n nPesa wanazozipata nazo zinaishia mikononi mwa hasimu wao ...

Musa Mpigakambi

KShs460.00
Musa na King Kong wanabaki bila mahali pa kulala baada ya ‘maonesho’ yao ya fataki kuteketeza kimakosa mabweni katika shule yao _ Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Walioathiriwa na mkasa huo wanalazimika kupiga kambi kwenye mahema ukingoni mwa mto. n nKatika harakati za kuchimba shimo la kutia mhimili wa hema, King Kong anachimbua mfuko wenye vito vya thamani. Pamoja na wenzake, wanashindwa kujiwekea siri ya ugunduzi huo mkuu, na muda si mrefu, wanajipata katika matatizo makubwa.

Musa Kwenye Harakati

KShs460.00
Wanafunzi katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo. Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia fursa hiyo kujifurahisha mjini Tororo. n nWakiwa mjini Tororo, wanakutana na Finito anayewashawishi washiriki katika 'hafla' yake ya uponyaji (kwa malipo) na wanakubali. Musa anapanda jukwaani. Anapogeuka kuutazama umati uliojaa fujo, anakabiliana ana kwa ana na naibu wa mwalimu mkuu. Bw Karanja. Baada ya kufaulu kutoroka, na hata kuwakwepa polisi, wanaapa kufanya juu chini ili kuvuka mpaka. Je, hatima yao itakuwaje?

Musa na Rafiki wa Barua

KShs460.00
Ari ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko. n nKando na hayo, Kasali — mvulana mgeni — anatengeneza mvinyo kwa mashine aliyoificha kwenye bweni. Kila anayeuonja anakiri kwamba ni mvinyo mzuri sana, na hata kuhusudu hall ya baadaye ya Kasali katika biashara ya mvinyo. Hata hivyo, majaribio anayoifanyia fomyula ya mvinyo huo inabadilisha pakubwa historia ya Taasisi ya Mukibi.

Musa kwenye Sokomoko

KShs460.00
"Kumleta mwanafunzi wa kike mahali kama hapa huenda kukawa balaa kubwa!" Anasema Bw Karanja, naibu wa mwalimu mkuu katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Bw. Mukibi, hata hivyo anaiona hiyo kuwa hatua nzuri sawa na wavulana wa shule hiyo pindi wanapopata habari hizo za kusisimua. n nJuli Sekabanja anaamua kwamba Musa na King Kong ndio wahusika hasa anaowahitaji ili kumsaidia kunasa genge la majasusi. n n'Musa kwenye Sokomoko' ni hadithi ya tano katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

Musa Mashakani

KShs460.00
Visa na Vituko vya Musa ni tafsiri ya Moses Series vilivyoandikwa na Barbara Kimenye, na ambavyo vinaangazia hali ya maisha ya wanafunzi shuleni mwao. Mbali na kuwa vinaburudisha na kuchekesha kwa visa mbalimbali vinavyomkumba Musa, yapo mafunzo mengi anayopata msomaji. Tafsiri hizi zinadumisha mvuto na mnato wa kazi asilia, na zitakupa shauku ya kusoma hadithi yote ili kujua hatima ya kisa chenyewe. Si jambo geni kwa Musa kuwa mashakani. Safari hii, yeye na marafiki zake katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanafanya mgomo wa kimzaha kuhusu chakula wanachopewa shuleni. Mwanzoni, wanauona mzaha huo kuwa murua. Hata hivyo, Mwalimu mkuu, Bw Mukibi, hafurahishwi – yeye si mtu wa kuficha hisia zake.

Musa na Pepo

KShs460.00
Musa, King Kong na wanafunzi wengine wa Bweni nambari 3 hawaamini kwamba kuna pepo. Lakini gimba hili la kutisha linalonyapanyapa kwenye uga wa shule yao ni kitu gani? Madoadoa ya ajabu ya 'damu' yametoka wapi? Na ni nani anayetoa kicheko cha kutisha nje ya mlango wa nyumba ya Bi Namukasa? Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamini kuwa ni wanafunzi wa Bweni nambari 3 wanaofanya mzaha. Kwa hivyo Musa na wenzake wanaamua kufanya juu chini kumnasa pepo huyu la sivyo atawafanya watimuliwe shule. 'Musa na Pepo' ni kitabu cha sita katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

Musa na Mildred

KShs460.00
Musa anatarajia mambo yamwendee vyema muhula huu, kinyume na masaibu yaliyotawala muhula wa kwanza katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Ana matumaini ya kumwonesha rafiki yake, King Kong, kipenzi chake, Mildred. Hata hivyo, mambo yanaanza vibaya na kutumbukia nyongo. Kwanza, kuna mvutana mgeni, Magara, ambaye ni dhatirnu. Kisha, King Kong anabwagwa kwenye kinyang'anyiro cha kiranja wa bweni. Halafu, Mildred anatoweka. 'Musa na Mildred' ni kitabu cha pill katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

Musa na Watekanyara

KShs460.00
Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile... Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni - hadi gari aina ya Mercedes Benz linapotokea na kukatiza ghafla raha yao. n n'Musa na Watekanyara' ni kitabu cha nne katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa.

Musa

KShs460.00
Musa Kibaya anatimuliwa kutoka shule yake ya sita. Anahisi kwamba hii ni rekodi katika umri wake wa miaka kumi na mitano pekee, ingawa kwa namna fulani anaionea fahari. Hofu yake tu ni jinsi Mjomba wake, Silasi, atakavyolichukulia suala hili... n nSilasi anapogundua kutimuliwa kwake, anampeleka Musa katika shule yake ya saba, Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Kumbe, hapo ndipo vituko vya Musa vinapoanza. n'Musa' ni kitabu cha kwanza katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

Moses and the Ghost

KShs460.00

Is there really a ghost haunting Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen? Moses, his friend King Kong, and the rest of the gang in Dormitory 3 don't believe in ghosts. That is, they are pretty sure they don't. But then who, or what, is the weird white figure flitting about the school compound at night? Where did the mysterious bloodstains come from? And who was responsible for the sinister laughter outside Miss Namukasa's door?

The deputy headmaster, Mr Karanja, believes he has the answer to all these questions: it's Dorm 3 trying to be funny. So HM and KK, together with Rukia, Itchy Fingers and the rest, set out to grab the ghost before it gets them all expelled.

This is the sixth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.