Miale ya uzalendo ni diwani yake Profesa Kitula Kingei. Diwani yenyewe ni mkusanyiko wa mashairi yanayolenga nyanja mbali za maisha kama vile uzalendo, utu, bidii na kadhalika. Aidha mshairi amewabebea bongo baadhi ya wasanii waliochangia kwa...
By mbali za maisha kama vile uzalendo, utu, bidii na kadhalika. Aidha mshairi amewabebea bongo baadhi ya wasanii waliochangia
kwa kiasi fulani katika kukikuza Kiswahili, huku akiwahimiza ndugu wapenzi wa Kiswahili waendelee kukikuza ili kifane dunian