Maisha yanapokuwa magumu kijijini, Johari anasaidiwa na Mzee Magufuli kuiondokea hali hiyo. Anapoondoka kijijini, anakumbana na maisha tofauti; maisha yanayotisha na kuzubaisha. Je, bahati yake ataipata mjini? Atarejea kijijini? Soma hadithi hii...
By Anapoondoka kijijini, anakumbana na maisha tofauti; maisha yanayotisha na kuzubaisha. Je, bahati yake ataipata mjini?
Atarejea kijijini? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu ya maswali haya. Mateso ya Johari ni hadithi inayosimuliwa