Miali ya Ushairi: Shule za Upili na V...

KShs1,058.00
Ushairi ni taaluma ambayo huwa tatizi mno kwa wanafunzi na wakereketwa wengi wa lugha ya Kiswahili. Katika kuandika Miali ya Ushairi, waandishi wananuia kueleza namna ya kusoma, kuelewa na kuchambua mashairi kwa njia sahili na inayoeleweka vizuri.... By Iribemwangi

Mwakilishi wa Watu

KShs1,136.00
Hadithi hii ni juu ya serikari fulani ya Kiafrika iliyolemazwa na rushwa. Mhusika mkuu, Nanga, ni mtu asiyekuwa na elimu na ilhali ni Waziri wa Utamaduni. Mwanzoni mwa hadithi, anaitembelea shule ambapo msimulizi wa hadithi, Odili Samalu,... By Chinua Achebe

Yanarudia Tena

KShs1,020.00
Mara niliusikia mlango unafunguliwa. Mwili ulinisisimka, nywele zilinisimama na damu ikanikauka...Nilipapasa mpaka nikazipata ngazi, na nikaanza kupanda bila wasiwasi kwani_nilishawahi kuwa kipofu. Kibuhuti cha kufiwa na wazazi_ kinakuja... By Rukiya Himid

Lulu Za Fasihi: Siwa (Moran)

KShs910.00
Binti Mfalme ametimiza umri wa kuolewa. Waposaji kutoka pande zote za ulimwengu wamejitokeza kuwania mkono wa Binti Mfalme. Njia ya pekee ya kufaulu ni kutegua vitendawili wanavyotegewa. Waposaji wengi wamebwagwa na vitendawili hivyo isipokuwa... By Ali Attas

Aminata

KShs954.00
Aminata was first published in 1988 after a successful world premiere at the Kenya National Theatre in 1985. Aminata, a brilliant, diligent and benevolent young lawyer is an acclaimed village celebrity. Yet there are those who will see her only as... By Imbuga

Get it Right Kiswahili Kidato 3 na 4 ...

KShs1,260.00
GET IT RIGHT KISWAHILI KIDATO CHA 3 NA 4 ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi wa kupigiwa mfano. Gharadhi ya kitabu hiki ni kuwajengea wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne msingi imara wa kukabiliana na mtihani wa kitaifa (K.C.S.E), Ni kitabu... By N.P. Kamithi

Bembea ya Maisha – Set Book

KShs974.00
Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao... By Timothy M Arege

Mwongozo wa Tamthilia ya Bembea ya Ma...

KShs1,020.00
VIPENGELE VILIVYOSHUGHULIKIWA: -Ploti (msuko), mandhari na umuhimu wake. -Unaeleza kwa kina sifa na umuhiwa wa wahusika. -Unachunguza kwa marefu na mapana mbinu za kimtindo. -Unashughulikia ufaafu wa anwani, dhamira pamoja na maudhui mbalimbali, -Kun By Globalink

Salamu Kutoka Kuzimu

KShs954.00
Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo ambayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti, anasema akichekelea.... By Ben R. Mtobwa

Shetani Msalabani

KShs1,202.00
Shetani Msalabani ni hadithi ya wazalendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa wabeberu; Wangari, mkulima mdogo aliyetaabishwa na mabepari; Muturi,mfanyi kazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri... By Ngugi Wa Thiong'o

Maisha Kitendawili

KShs1,024.00
Mahaba ni mithili ya kondo; yakushikapo yanakutia donda. Penzi la Farida kwa Kim limegeuka na kuwa pendo. Farida sasa katota... Itakuwaje? Riwaya hii ya kusisimua inatuingiza katika bahari tesi ambamo asiyesimama imara huzama ji! Unapoisoma... By John Habwe

Bina-Adamu!

KShs1,125.00
Bina-Adamu ni riwaya inayotumia sitiari ya kijiji kuangalia hali ya mataifa ya ulimwengu katika kipindi hiki ambapo hali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinadhibitiwa na ubepari wa mataifa yaliyoendeiea. Hii ni riwaya changamano yenye ufundi wa... By K.Wamitila

Dunia Yao

KShs1,310.00
Dunia Yao ni riwaya inayothibitisha namna ujasiri wa mwandishi ulivyoimarika kwa kujadili mambo nyeti kuhusu jamii yake na mataifa. Tunakutana na Ndi- anayejifungia njozini kukimbia ukweli unaompa mateso na kuihangaisha akili yake. Mwishowe... By Said A.Mohamed