Showing all 6 results

Swahili Readers: 8f – Falme Tisa

KShs310.00
Ufalme Mkuu unatawaliwa na Mfalme Sultan!. Aidha zipo falme nyingine tisa zinazoongozwa na mfalme yuyo huyo. Hata hivyo, kuna fununu kuhusu njama za mapinduzi dhidi yake. Juu ya yote, twaamini kuwa ipo siku ambapo Mfalme atatutoa juani atupeleke kivulini Falme Tisa ni mojawapo ya hadithi katika Mradi wa Kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 8e – Vipawa vy...

KShs310.00
'Vipawa vya Hasina' ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
  • n
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, takriri, kejeli, chuku, taswira, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisna ya nyumbani, shuleni, kijijini na jijini, malezi, mila ya ndoa za wasichana wadogo, afya, ujana na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, michezo, uwajibikaji, stadi za maisha, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 8d – Njia Panda

KShs310.00
'Njiapanda' ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, tamthitia ndani ya hadithi, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
  • n
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, taknn, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswati ya batagha. taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya ujana na matatizo yoke, maisha ya nyumbant, shuleni na hospitatini, matezi, afya, umuhimu wa teknotojia, habari na mawasiliano, uwajtbikaji, kazi, utu, uvumilivu, haki za binadamu na haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 8c – Habari za...

KShs310.00
'Habari za Mawio' 8c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na hadithi ndani ya hadithi.
  • n
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, mbinu rejeshi, vichekesho, utani, sajili (lafudhi) ya lugha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kuwaheshimu watu wote, udugu, utamaduni, kujali wengine, haki na uadilifu, kazi na uwajibikaji, utu, afya (ukimwi, madawa ya kulevya), habari na mawasiliano.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 8b – Je huu ni...

KShs310.00
'Je, huu ni uungwana?' ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. n nMiongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya shajara, tawasifu, barua, utambaji wa hadithi, mbinu rejeshi, hotuba kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dagolojia, misemo, methali, taharuki, tashihisi, tanakati za sauti, kejeli, vichekesho na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwatea wanafunzi katika mazingira ya afya, madawa ya kulevya, siasa, unyumba, ujirani mwema, uvumilivu, uadilifu, haki za watoto, kazi, uwajibikaji, utu, adabu, teknolojia, habari na mawasiliano.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfutulizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 8a – Kisasi Ha...

KShs310.00
'Kisasi Hapana!' ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. n nMiongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja.
  • n
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashbihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswali ya balagha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na vijijini, michezo, afya, umuhimu wa elimu, kuwaheshimu watu wazima na wazazi, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu na haki za watoto.
  • n