Showing all 6 results

Kamusi ya Msingi Kiswahili -English

KShs790.00
Je, ungependa kuifahamu lugha ya Kiingereza kama unavyoifahamu lugha ya Kiswahili? Je, ungependa kujua tafsiri za Kiingereza za maneno ya Kiswahili unayoyajua? Basi 'Kamusi ya Msingi Kiswahili-English' itakusaidia. n nKamusi hii ina: n
    n
  • Mada kuu 27.
  • n
  • Maneno muhimu ya Kiswahili zaidi ya 1,800 na tafsiriza maneno hayo.
  • n
  • Wingi wa nomino.
  • n
  • Mifano rahisi ya sentensi katika Kiswahili na Kiingereza.
  • n
  • Michoro zaidi ya 1,200 ya kupendeza.
  • n

Beginner’s Dictionary English -...

KShs790.00
Would you like to understand the Kiswahili language the way you understand English? Would you like to learn the Kiswahili translation of the English words you know? Then the 'Beginner's Dictionary English Kiswahili' will help you. n nThis dictionary has: n
    n
  • 27 major themes.
  • n
  • more than 1,800 English words and their Kiswahili translations.
  • n
  • Noun plurals.
  • n
  • Simple example sentences in both English and Kiswahili.
  • n
  • More than 1,200 attractive pictures.
  • n

Kamusi ya Watoto

KShs735.00
Kamusi ya Watoto ina: n
    n
  • Msingi bora wa maneno kwa watoto wadogo.
  • n
  • Kamusi ya kuaminika ya kuanzia kujifunza lugha ya Kiswahili.
  • n
  • Maneno muhimu 1,700 na zaidi ya Kiswahili.
  • n
  • Maelezo wazi ya maneno.
  • n
  • Mifano ya namna maneno yanavyotumiwa katika sentensi.
  • n
  • Zaidi ya picha 700 za rangi kumsaidia mtoto kuelewa maana za maneno.
  • n
  • Sehemu maalumu ya mchezo wa lugha na mazoezi.
  • n

Kamusi Sanifu ya Msingi

KShs965.00
'KAMUSI SANIFU YA MSINGI' imetungwa kwa ustadi na wataalamu wa Kiswahili ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi na yeyote anayetaka kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili. n nKwa nini 'Kamusi Sanifu ya Msingi'? n nKamusi hii ina: n
    n
  • Maneno makuu mapya zaidi ya 2,000.
  • n
  • Sentensi kwa kila neno kuu.
  • n
  • Wingi wa kila nomino.
  • n
  • Ngeli za nomino.
  • n
  • Mnyambuliko wa vitenzi.
  • n
  • Michoro na picha zaidi ya 1,000 kurahisisha uelewa wa maana.
  • n
  • Vipengele mbalimbali vya sarufi.
  • n
  • Kurasa 10 za kumwelekeza mtumiaji.
  • n
  • Kurasa 32 za rangi zinazogusia maudhui mbalimbali kama vile rangi, maumbo, tarakimu, sehemu za mwili wa binadamu, mavazi, vyakula na vinywaji, wanyama, miti na mimea, michezo mbalimbali, usafiri, alama za barabarani, viumbe na makao yao, vikembe, majira na nyakati, dira, sayari, salamu, majina ya kike na ya kiume, nomino za makundi, tanakali za sauti,tashbihi, visawe na nahau.
  • n
  • Maelezo ya kina kuhusu ngeli za nomino.
  • n

A Standard English-Swahili Dictionary

KShs1,470.00
This dictionary is founded on Madan's original Swahili Dictionaries. It contains not only equivalent for English words, but also short explanations in Swahili of words, phrases, and idioms occurring in modern English. Many definitions and examples contained in this work are identical to those in Madan's dictionaries, but others have been revised, and both the English vocabulary and the Swahli equivalents and definitions have been considerably augmented. The arrangement adopted is aimed at assisting the Swahili speaker in establishing the connection between the different parts of speech in English.

Kamusi ya Kiswahili Sanifu 4TH ED

KShs1,020.00
Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. n nToleo hili lina: n
    n
  • zaidi ya vidahizo vipya 1,000.
  • n
  • kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali.
  • n
  • zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana.
  • n
  • nahau na misemo iliyotolewa maana.
  • n