Showing 21–26 of 26 results

Kiswahili Dadisi Workbook Grade 2

KShs395.00
'Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook' ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. n nKitabu hiki: n
    n
  • Kimeandikwa kwa kufuata mada zote kwenye silabasi.
  • n
  • Kina mazoezi mengi ya kufurahisha na kuelimisha ambayo mwanafunzi anaweza kufanya.
  • n
  • Ili kujenga umilisi katika kila mada.
  • n
  • Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla.
  • n
  • Kwa mada zote.
  • n
nMajibu ya mazoezi ya vitabu vyote vya Gredi 2 yanapatikana katika kitabu kimoja.

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Mwo...

KShs515.00
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. n nVitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
  • Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na
  • n
nMwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi. n nOxford, chaguo lako!"

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kit...

KShs460.00
'Kiswahili Dadisi' ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kufanikisha ufundishaji na ujifunzaji wa mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu hivi vitawawezesha wanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi, kupitia mazoezi murua ambayo pia yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. Katika 'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya1 utapata: n
    n
  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala.
  • n
  • Mifano halisi ya matumizi ya lugha kimuktadha.
  • n
  • Mazoezi ya kuchangamsha na kufikirisha ambayo yanawashirikisha wanafunzi moja kwa moja.
  • n
  • Vifungu vya kuburudisha na vinavyoendeleza ujifunzaji.
  • n
  • Nyimbo za kusisimua ambazo zitawachangamsha na kuwaburudisha wanafunzi.
  • n
  • Picha za rangi, zenye mvuto wa kipekee na ambazo zinachangia pakubwa katika ujifunzaji wa mwanafunzi.
  • n
  • Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa.
  • n
  • Mazoezi ambayo yatawashirikisha mwanafunzi kutumia vifaa vya kidijitali katika ujifunzaji.
  • n
  • Jinsi ya kumshirikisha mzazi au mlezi kuimarisha ujifunzaji.
  • n
n'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 2 kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu anahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika somo la Kiswahili.

c Grade 4

KShs440.00

Everyday Science and Technology Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new Competency-based Curriculum.
Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes. This workbook offers:

n
    n
  • Graded practice exercises to take care of learners of different learning abilities
  • n
  • Numerous practical activities to enhance the acquisition of skills
  • n
  • Various home tasks aimed at involving the family and the community in the learning process.
  • n
n

A combined answer book is available for the Grade 4 workbooks

Kiswahili Dadisi Workbook Grade 1

KShs330.00
'Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook' ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. n nKitabu hiki: n
    n
  • Kimeandikwa kwa kufuata mada zote kwenye silabasi.
  • n
  • Kina mazoezi mengi ya kufurahisha na kuelimisha ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kujenga umilisi katika kila mada.
  • n
  • Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
  • n
nMajibu ya mazoezi ya vitabu vyote vya Gredi 1 yanapatikana katika kitabu kimoja.

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kit...

KShs445.00
'Kiswahili Dadisi' ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kufanikisha ufundishaji na ujifunzaji wa mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu hivi vitawawezesha wanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi, kupitia mazoezi murua ambayo pia yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. n nKatika 'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya1 utapata: n
    n
  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala.
  • n
  • Mifano halisi ya matumizi ya lugha kimuktadha.
  • n
  • Mazoezi ya kuchangamsha na kufikirisha ambayo yanawashirikisha wanafunzi moja kwa moja.
  • n
  • Vifungu vya kuburudisha na vinavyoendeleza ujifunzaji.
  • n
  • Nyimbo za kusisimua ambazo zitawachangamsha na kuwaburudisha wanafunzi.
  • n
  • Picha za rangi, zenye mvuto wa kipekee na ambazo zinachangia pakubwa katika ujifunzaji wa mwanafunzi.
  • n
  • Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa.
  • n
  • Mazoezi ambayo yatawashirikisha mwanafunzi kutumia vifaa vya kidijitali katika ujifunzaji.
  • n
  • Jinsi ya kumshirikisha mzazi au mlezi kuimarisha ujifunzaji.
  • n
n'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 1 kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu anahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika somo la Kiswahili.