Showing all 9 results

Kiswahili Fasaha Learner’s Book 9

KShs845.00
Oxford Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. n nOxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9 kina: n
    n
  • Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha.
  • n
  • Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika.
  • n
  • Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa.
  • n
  • Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi.
  • n
  • Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa.
  • n
  • Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika.
  • n
  • Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
  • n
nKila Kitabu cha Mwanafunzi katika msururu huu kina Mwongozo wa Mwalimu. n nOxford, mshirika wako katika ufanisi!

Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu G...

KShs650.00
'Kiswahili Fasaha' ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. n nMwongozo huu wa mwalimu una: n
    n
  • Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi,
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa,
  • n
  • Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo,
  • n
  • Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji,
  • n
  • Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu,
  • n
  • Nyaraka za kitaaluma,
  • n
  • Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii.
  • n

Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunz...

KShs780.00

Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.

Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina:

  • Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha - Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika - pamoja na matumizi ya sarufi kimkutadha
  • Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika
  • Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa
  • Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi
  • Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa
  • Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika
  • Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.

Kiswahili Fasaha Kidato cha 3 Kitabu ...

KShs735.00
'Kiswahili Fasaha', Mwongozo wa Mwalimu, Kidato cha 3 limeboreshwa ili kumpa mwalimu mwongozo wa kuimarisha maarifa yake ya kufundisha Kiswahili katika shule za sekondari. Mwongozo huu unaambatana na 'Kiswahili Fasaha', Kitabu cha Mwanafunzi, Kidato cha 3.

Kiswahili Fasaha Kidato cha 3 Kitabu ...

KShs825.00
Author: Francis Waititu et al ISBN: “9780195742305”

Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 Kitabu ...

KShs735.00
'Kiswahili Fasaha', Mwongozo wa Mwalimu, Kidato cha 2 limeboreshwa ili kumpa mwalimu mwongozo wa kuimarisha maarifa yake ya kufundisha Kiswahili katika shule za sekondari. Mwongozo huu unaambatana na Kiswahili Fasaha, Kitabu cha Mwanafunzi, Kidato cha 2. n nKitabu hiki kitamwongoza mwalimu kwa kumdokezea jinsi ya kufundisha mada zote katika silabasi kwa kuzingatia mbinu zilizotafitiwa na kujaribiwa. Kila sehemu ina Mada, Shabaha, Nyenzo na Muhtasari wa funzo. Aidha kuna majibu yaliyopendekezwa. Majibu haya yamewekwa pamoja mwishoni mwa kila sura ili kurahisisha marejeleo.

Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 Kitabu ...

KShs825.00
Toleo jipya la 'Kiswahili Fasaha' Kidato cha 2 limeboreshwa ili kukidhi mahitaji ya mwanafunzi kuambatana na silabasi. Maelezo ya mada zote za lugha yametolewa kwa lugha rahisi ambayo mwanafunzi anaweza kuelewa hata anaposoma mwenyewe. Katika kitabu hiki utapata: n
    n
  • Mada zote zilizoorodheshwa kwenye silabasi Kidato cha 2.
  • n
  • Mpangilio bora wa mada na ulio rahisi kufuatilia ya mada za isimujamii, sarufi, ufahamu na ufupisho, fasihi, insha mbalimbali na kusoma kwa kina na kwa mapana masuala ibuka mbalimbali.
  • n
  • Mazoezi katika kila mada.
  • n
  • Maswali ya marudio.
  • n

Kiswahili Fasaha Kidato cha 1 Kitabu ...

KShs700.00
Toleo jipya la 'Kiswahili Fasaha' Kidato cha 1 limeboreshwa ili kukidhi mahitaji ya mwanafunzi kuambatana na silabasi. Maelezo ya mada zote za lugha yametolewa kwa lugha rahisi ambayo mwanafunzi anaweza kuelewa hata anaposoma mwenyewe. n nKatika kitabu hiki utapata: n
    n
  • Mada zote zilizoorodheshwa kwenye silabasi Kidato cha 1.
  • n
  • Mpangilio bora wa mada na ulio rahisi kufuatilia ya mada za isimujamii, sarufi, ufahamu na ufupisho, fasihi, insha mbalimbali na kusoma kwa kina na kwa mapana masuala ibuka mbalimbali.
  • n
  • Mazoezi katika kila mada.
  • n
  • Maswali ya marudio.
  • n