Showing all 11 results

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu,...

KShs550.00
Mwongozo wa Mwalimu n nGredi ya 3 n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi. n nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 3 kina mifano halisi na ya kutosha kukuwezesha kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • utangulizi wa kina kuhusu Mtaala wa Umilisi
  • n
  • muhtasari wa umilisi, maadili, masuala mtambuko na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kila suala kuu
  • n
  • maelezo kuhusu jinsi ya kushirikisha vifaa vya kidijitali katika ufundishaji
  • n
  • mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo yatakufaa sana ili kuwawezesha wanafunzi kufaulu katika Mtaala wa Umilisi. n nOxford, mshirika wako katika ufanisi!

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu,...

KShs600.00
Mwongozo wa Mwalimu n nGredi ya 2 n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi. n nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kukuwezesha kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • utangulizi wa kina kuhusu Mtaala wa Umilisi
  • n
  • muhtasari wa umilisi, maadili, masuala mtambuko na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kila suala kuu
  • n
  • maelezo kuhusu jinsi ya kushirikisha vifaa vya kidijitali katika ufundishaji
  • n
  • mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2 pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo yatakufaa sana ili kuwawezesha wanafunzi kufaulu katika Mtaala wa Umilisi. n nOxford, mshirika wako katika ufanisi!

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu,...

KShs600.00
Mwongozo wa Mwalimu n nGredi ya 1 n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi. n nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 1 kina mifano halisi na ya kutosha kukuwezesha kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • utangulizi wa kina kuhusu Mtaala wa Umilisi
  • n
  • muhtasari wa umilisi, maadili, masuala mtambuko na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kila suala kuu
  • n
  • maelezo kuhusu jinsi ya kushirikisha vifaa vya kidijitali katika ufundishaji
  • n
  • mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya I pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo yatakufaa sana ili kuwawezesha wanafunzi kufaulu katika Mtaala wa Umilisi. n nOxford, mshirika wako katika ufanisi!

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu 6

KShs455.00
'Kiswahili Dadisi' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa. n nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n nHuu Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 6, una mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa wa umilisi Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya takribani maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • n
  • Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa.
  • n
  • Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako.
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi. n nOxford, chaguo lako!

Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwalimu 5

KShs440.00
'Kiswahili Dadisi' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa. n nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n n'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwalimu, Gredi 5, kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa mpya wa umilisi.
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • n
  • Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa.
  • n
  • Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako.
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi. n nOxford, chaguo lako!

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu 4

KShs390.00
'Kiswahili Dadisi' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa. n nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n n'Kiswahili Dadisi', Mwongozo wa Mwalimu, Gredi 4, kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. n nKatika mwongozo huu, utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa mpya wa umilisi.
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • n
  • Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa.
  • n
  • Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako.
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
nKiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi. n nOxford, chaguo lako!

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Mwongozo...

KShs340.00
'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n n'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 3 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi.
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa.
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Mwongozo...

KShs340.00

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

n

Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:

n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n

Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Mwo...

KShs515.00
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. n nVitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
  • Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na
  • n
nMwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi. n nOxford, chaguo lako!"