Showing all 2 results

Tuzo za Usafi by Timothy Sumba

KShs330.00 KShs299.00
Tuzo za Usafi ni kitabu cha wanafunzi wa gredi za chini katika shule ya msingi. Kazi bunilizi hii inazingatia mahitaji yote ya mfumo mpya wa elimu (mtalaa wa umilisi) kama vile ujenzi wa masuala mtambuko. Utajiri mkubwa wa yaliyomo ni burudani katika lugha sanifu na msamiati teule ambao umeshiba mafunzo kemkemu ya maadili. Visa sisimuzi vimesukwa ili kumpa mtoto ilhamu ya kutaka kujua zaidi na kumjengea uraibu wa kusoma kwa ufasaha. Usafi wa mwili ni mazoea mazuri. Umuhimu wa usafi ni upi? Utaratibu wa usafi wa mwili ni upi? Vifaa gani hutumika kuusafisha mwili? Mwandishi wa kitabu hiki, Timothy Omusikoyo Sumba ni mtaalamu wa saikolojia na fasihi ya watoto. Ameandika vitabu chungu nzima ambavyo vimeidhinishwa na Taasisi ya Kukuza Mitaala ya Kenya (KICD) pamwe na Research Triangle International (RTI).

Hardly Working by Zukiswa Wanner

KShs2,000.00 KShs1,490.00
Zukiswa Wanner sets off on an adventure-filled road trip with her partner and son. Travelling through six borders, on busses and on the backs of trucks, Wanner celebrates the 10 years since her debut novel, The Madams, was published by having a reading in as many countries as possible. Between protests against bond notes in Zimbabwe and celebrating her birthday, Wanner reconnects with good friends and gets the opportunity to give her son an African education that he’ll cherish for years to come.