Mbaya Wetu ni tamthilia ya kijamii inayoangazia kitashtiti suala la malezi. Tamthilia hii inamulikia kurunzi taasisi ya familia, vyombo vya dola na jamii kwa jumla na kufichua utepetevu katika utekelezaji wa majukumu ya kimsingi. Matokeo ya...
By Ken Walibora
Nagona ni riwaya inayothibitisha upevu wafalsafa ya Kezilahabi kuhusu dhana ya maisha. Katika riwaya hii. maisha vanasawiriwa katika mtazamo wa dhihaka na kejeli. Ndiyo maana mwandishi anatega kitendawili kwamba waliobahatika kuishi, ...walikufa...
By E. Kezilahabi
Onyango anapotelea msituni anapocheza na marafiki zake wanne katika kitongoji kimojawapo cha jiji la Nairobi. Msitu huo ni makao ya Chakaa-chakachaka, jitu lenye nywele kote mwilini, ambalo mlo wake linaloupenda zaidi ni watoto. Baada ya kupata...
By Muthoni Muchemi
Milestones in History and Government Form 4 is the final title in a four-book series that gives a concise, comprehensive and exhaustive coverage of the secondary school History and Government Syllabus. It comprehensively covers the new syllabus...
By Priscilla Kivuitu
Sarufi:Hatua hula Hatua ktaa Shute za &faring; nj kitabu cha mazoezi ya ziada na marejeleo katika sarufi kwa shule za msingi. Kitabu hiki kimeandikwa kwa ustadi kumsaidia mwanafunzi kupata ujuzi wa sarufi ya Kiswahili hatua kwa hatua. Aidha,...
By Amina M Vuzo
Kiswahili Swahiba ni kitabu chenye uwili unaokamilisha mazoezi kamili ya somo la kiswahi katika darasa la nane. Kina sehemu mbili ambazo ni INSHA a LUGHA. Kinaelezea kwa ufasaha aina zote za insha zinazotahiniwa katika mtihani wa kitaifa wa K.C.P.E...
By Wanto Warui
UNLOCK THE KEY TO SUCCESS WITH JP MORGAN S BEST SUMMER READ OF In this must read for anyone seeking to succeed pioneering psychologist Angela Duckworth takes us on an eye opening journey to discover the true qualities that lead to outstanding...
By Angela Duckworth
In a world where we are constantly connected it s those with the best people skills who win the day Those who build the right relationships Those who Only understand and connect with their colleagues their customers their partners Those who others...
By Dave Kerpen
After the use of this book, the learner will be able to; Demonstrate awareness of the love of God as their sole creator and heavenly Father. Appreciate the Holy Bible as the word of God and apply it in their daily life for holistic living. Ap
By MTP
Our Faith Christian Religious Education Activities is a complete course developed to meet the requirements of the Competence-Based Curriculum. The course offers learners appropriate knowledge, skills and attitudes necessary for learning Christian...
By Moran
Certificate Physics is a four-year course developed for use in Secondary Schools. The course is written in line with the new Kenyan Syllabus (2002) and covers all the outlined topics. It has been developed with both the students and the teachers...
By EAEP
This book, Social Studies for Teacher Training Colleges, has been written to be used by the student-teacher. It is also useful to those who are teaching Social Studies in primary schools. The book is skillfully developed to enable the...
By The Jomo Kenyatta Foundation
A key objective of primary teacher education is to develop the basic theoretical and practical knowledge about the teaching profession, so that the teachers attitude and abilities can be geared towards professional commitment and competence. KLBS...
By KLB
Kurunzi ya Insha: Kidato cha I na 2, kimezingatia tungo zote za ubunifu/kawaida na za kiuamilifu zilizomo kwenye silabasi ya Kiswahili, kidato cha kwanza na pili. Kinawapa wanafunzi mwangaza na ustadi kamili kuhusu uandishi wa tungo hizi kwa...
By Spotlight Publishers
KLB Skiligrow Mathematical Activities for Pre-Primary 2 is a learning area aimed at developing knowledge, skills and attitudes in numeracy at the learners level. The title employs a hands-on learner-centered approach, which enables learners to...
By KLB
Christian Religious Activities is a learning area aimed at instilling in the learner moral and spiritual values to enable him or her live a morally upright life and fit well in society. KLB Skillgrow Pre-Primary 1 Christian Religious Activities...
By KLB
Environmental Activities Pre-Primary I Learners Workbook has been comprehensively written to meet the requirements of the new competency-based curriculum. The content is guided strictly by the specific learning outcomes and suggested learning...
By KLB
Baada ya kukitumia hiki kitabu, mwanafunzi ataweza; Kutumia mbinu zifaazo za usikivu katika mawasiliano katika mazingira yake. Kudhihirisha ufasaha wa kuzungumza Kusoma kwa ufasaha no kufahamu aina zozote za maandishi. Kuelezea mawazo, hisia na t
By MTP