Showing 481–500 of 20682 results

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu 6

KShs455.00
'Kiswahili Dadisi' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa. n nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n nHuu Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 6, una mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa wa umilisi Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya takribani maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • n
  • Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa.
  • n
  • Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako.
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n'Kiswahili Dadisi', Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi. n nOxford, chaguo lako!

Let’s Do Mathematics Activities...

KShs495.00
Author: Catherine Kiyiapi, Martin Ng’ang’a, Benter Awuor, Peter Kahoro, Maurice Aketch ISBN: “9780195749229”

Roots English Teacher’s Guide G...

KShs495.00
'Roots English' is specially written to provide practical experiences that support the acquisition of language skills for the new Competency-Based Curriculum. This book provides a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at the acquisition of the core competencies, values, and pertinent and contemporary issues (PCIs).

New Progressive Primary English Activ...

KShs455.00
'New Progressive Primary English' is a series specially written to provide practical experiences that support the acquisition of language skills for the new Competency-Based Curriculum. Books in the series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at the acquisition of the core competencies, values, and Pertinent and Contemporary Issues (PCIS). n nThe Teacher's Guide has a wealth of practical activities for developing competencies in learners. It supports teachers by offering the following: n
    n
  • A detailed introduction to the new Competency Based Curriculum.
  • n
  • A detailed work schedule to help the teacher pace the lessons.
  • n
  • A sample lesson presentation to assist the teacher in planning the lessons.
  • n

Mwanamke Aliyebeba Chatu

KShs440.00
Kitabu hiki, 'Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine', ni kimoja kati ya vitabu vya kujisomea vya Shirika la Uchapishaji la Oxford, katika mfululizo wa Hadithi za Chiriku kwa shule za msingi. Vitabu vya Hadithi za Chiriku vina mambo mbalimbali ya kusisimua na kuchangamsha akili kwa watoto wa madarasa ya juu ya shule za msingi. Mazoezi yaliyoko mwisho wa kila kitabu yanakuza zaidi vipawa vya mwanafunzi vya kuelewa kuandika vizuri. n n'Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine' ni kitabu chenye mafunzo mbalimbali kuhusu: n
    n
  • Utiifu: kutodharau ushauri wa watu, kutojiamini sana, kuwa mwangalifu na kushirikiana.
  • n
  • Mazingira yetu: mila na miiko kuhusu mazingira, mito na wanyama.
  • n
  • Vipawa: uhunzi, ulinzi, ushupavu na ujasiri.
  • n
nHadithi nyingine katika mfululizo huu ni 'Kapotei na Lulu'.

Vitendawili

KShs525.00
Author: E.K Meena, G.V. Mmari, H.H. Sangiwa ISBN: “9780195721638”

Wasakatonge

KShs400.00
'Wasakatonge' ni diwani yake mpya yenye hazina ya mashairi yenye kubainisha sauti kali ya utetezi kwa wavujajasho wanaonyanyaswa, kuonewa, kudharauliwa na kunyonywa nguvu zao. Ni kauli inayobainisha uoza wa jamii na athari zake kwa wanyonge. Diwani hii ni chachu ya kuuzindua umma ulioghilibiwa iii udai haki yao dhidi ya wanasiasa madikteta wanaotumia nguvu za dola kwa maslahi yao. n
    n
  • Kitabu hiki mbali ya kuwa na kina kizito cha maudhui, fani yake pia imetia fora. Kwa wale wapendao ushairi "bulibuli" wa Kiswahili hiki ndicho kitabu chao. Wanafunzi wa sekondari, vyuo na vyuo vikuu watafaidika sana wasomapo diwani hii.
  • n
  • Mwishoni mwa kitabu hiki, kuna orodha ndefu ya maneno na maana yake ambayo bila shaka yatakuwa hazina kubwa katika kuyafaidi na kuyaelewa ipasavyo mashairi haya.
  • n

Swahili Readers: 6d – Ahsante y...

KShs270.00
'Ahsante ya Punda' ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi, kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yake, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahiti Sanifu.

Swahili Readers: 6c – Ujasiri W...

KShs270.00
Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua. Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa. Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima. Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lakini hakuwa na budi ila kujitwika ujasiri huu. Ilimbidi afanye lolote, ajikakamue, mradi tu ajiokoe! 'Ujasiri wa Tito' ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 6b – Maskini b...

KShs270.00

Maskini Bibi Yangu! ni kitabu kinacholenga wanufunzi wa darasa la Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao kusoma.Miongoni mwa sifu za kipekee za kitabu hiki ni:masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na usimulizi wa nafsi ya kwanza umoja.kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tanukali za sauti, vichekesho, utani, takriri, taswira nu picha za rangi zenye kusisimua.kuwapitisha na kuwalea wunufunzi katika muzingira ya kuwaheshimu watu wazima wenye uhusiano nao au wasiowahusu, maisha ya nyumbani, mazoezi, michezo na mashindano, kilimo, afya na hudumu ya kwanza, teknolojia ya mawasiliano, uwajibikaji, utu. uvumilivu na mandhari ya mijini na vijijini.

Swahili Readers: 6a – Nachora k...

KShs270.00
'Nachora kwa maneno' 6a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Sita katika shule za msingi. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa pia na wanafunzi wa Darasa la Saba. nMiongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Mashairi mepesi yaliyobeba maudhui mbalimbali.
  • n
  • Ubunifu na umahiri wa mtunzi katika kufinyanga lugha na kuipamba kwa misemo, tashibihi, tashihisi, takriri, maswali ya balagha, methali, istiari, mafumbo, taswira ili itoe ujumbe na mafunzo tofautitofauti.
  • n
  • Mshairi ametuingiza katika mitindo na bahari mbalimbali ya kuwasilisha ujumbe kama vile tathnia, tathlitha, tarbia, takhmisa, tasdisa, ngonjera, majigambo na ushairi huru.
  • n
  • Mashairi yaliyomo humu yanakidhi mahitaji ya silabasi.
  • n
  • Kitabu hiki kinaangazia masuala ibuka kama vile UKIMWI, afya, madawa ya kulevya, mazingira, teknolojia, ufisadi, maafa (ugaidi, ukame, mafuriko), uadilifu, jinsia, ajira na haki za watoto.
  • n
  • Urahisishaji wa ufahamu wa mashairi kupitia picha zenye rangi za kuvutia na zenye kusisimua.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

NPPE: RS.6p- A scare in the Village

KShs265.00

The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.

n

The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.

NPPE: RS.6n-It looks like a goat

KShs235.00

NPPE: RS.6m-The Bird Boy

NPPE: RS.6l – Change of Heart

KShs230.00

NPPE: RS.6k – Shy Girl

NPPE: RS.6j – ThatÂ’s a Deal

NPPE: RS.6h – The Prize

NPPE: RS.6g – Hope Restored