![delivery delivery](https://nuriakenya.com/wp-content/uploads/elementor/thumbs/delivery-qtoyzu4kwamc4sp987wxx82zix8cqr24pwez70ul4k.png)
![delivery delivery](https://nuriakenya.com/wp-content/uploads/elementor/thumbs/delivery-qtoyzu4kwamc4sp987wxx82zix8cqr24pwez70ul4k.png)
QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
Read with us Literacy Activities is a new series specially written to provide practical experiences that support acquisition of literacy skills for the new competency-based curriculum. Books in the series provide a range of exciting activities. The activities are aimed at acquisition of core competencies, values, and pertinent and contemporary issues (PCIs).
nThe Learner's Book ensures coverage of the new competency-based curriculum by providing:
nThis book provides answers to the questions in new competency-based curriculum workbooks listed below:
nSoma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
nSoma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
nSoma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.
No account yet?
Create an Account