Ndoto ya suki

KShs890.00
Suki huona watu kwenye runinga. Yeye pia anatamani kuingia kwenye runinga ilia atazamwe na watu. Anatafuta upenyu wa kumfikisha ndani ya runinga bila mafanikio. Je, ataingiaje ndani ya runinga? Soma ili ujue jinsi ndoto ya Suki inatimizwa. By Kibet

Paka onja

KShs890.00
Jumatatu asubuhi, Malit ameshindwa kuamka ili aende shuleni. Dada yake mdogo, Nashipae, anashangazwa na kulala huku kwake kwa muda mrefu. Je, ni tabia mpya ya Malit ama anaugua? Kwa kawaida, Malit ndiye humwamsha Nashipae kila siku. Nashipae anawaari By Rebecca Nandwa

Gamba apiga Ngoma

KShs910.00
Gamba anapenda kuwatazama luka na Lusi wakipiga ngoma. Gamba anapenda kuimba na kucheza. Hata hivyo, hamu yake ni kupiga ngoma. Isome hadithi hii ugundue jinsi Gamba anavyojitahidi, wakati huo huo akibarudika, kutimiza ndoto yake By Baingana

Gumba aenda Safari

KShs930.00
Gumba anachoshwa na kazi ambayo anafanyishwa na vidole wenzake kutokana na hali hil Gumba anafunga safari kwenda kuitembelea familia ya Mguu. Endelea kusoma ili ujue ni nini kilifanyika Moto wake ni wa kila aingo gani cha usomos? Tumia vigezo... By Karimi

Nyani apata funzo

KShs890.00
Nyani Mkubwa anataka kutambulika kama shujaa. Anawadhihaki wale anaokisia kwamba hawana nguvu kama zake, hususan Ndovu na Panya. Wanyama wanapokumbwa na hatari, ni nani anayeitwa kuwaokoa? Je, ni nani anayedhihirisha ushujaa wa kweli? By Muchemi

Nyungunyungu na Konokono… Utamu...

KShs930.00
Aoko and Ooko ni wanakunguru wawili wanaopenda vyakula anavyowaletea mama yao. Vyakula hivi kama minyoo, konokono na mabuu wanaonuka. Lakini wakila chakula kingi, watajifunza kuruka? Hadithi hii ya kusisimua imeandikwa kwa ukarara ili usomaji... By Millie Dok

Tuzo la Uaminifu

KShs890.00
Ili kuteuwa kiongozi mpya, simba mzee anawapa kiboko, kifaru na ndovu mtihani tata. Kila mmoja anataka kuwa mshindi na kuteuliwa kiongozi wa jangwani. Nani atashinda By Muchemi

Mti wa Milele

KShs890.00
SOMA PAMOJA NA MTOTO WAKO Furahia uhondo wa kusoma pamoja na mtoto wako. Mtoto wako atavipenda vitabu maishani mwake na atajifundisha kwa wepesi endapo utazingatia hoja kumi rahisi zilizoorodheshwa hapa chini. 1. Soma pamoja na mtoto wako katika maz By Wangari Grace

Siri hospitalini

KShs890.00
Jumatatu asubuhi, Malit ameshindwa kuamka ili aende shuleni. Dada yake mdogo, Nashipae, anashangazwa na kulala huku kwake kwa muda mrefu. Je, ni tabia mpya ya Malit ama anaugua? Kwa kawaida, Malit ndiye humwamsha Nashipae kila siku. Nashipae anawaari By Maina

Mwito wa moto

KShs745.00
Tieni na ndugu zake wamekaa chumbani mwa nyanya yao wakingoja chakula chao kiive. Akiwa huko jikoni, Tieni anasikia sauti zikimwita kutoka kwenye moto. Mababu wanamwita kwenye moto! Wanamvuta karibu zaidi na zaidi! Je, ataanguka kwenye moto? Vitabu v By Maina

Safari ya penseli pisho

KShs930.00
Pisho, Penseli, anatoweka kutoka kwa Musa, mmilikaji wake. Anapodhani amepata uhuru kwa kutoroka, anakumbana na masaibu chungu nzima katika safari yake. Mathalani, anatumiwa kutoa nta masikioni, anatumiwa kama brashi na kuwa mlingoti wa bendera.... By Mohan

Storymoja Life series: Wimbo wa Ujasiri

KShs910.00
Kip Kibet ni mwanafunzi mwenye haya katika shule moja ya upili jijini Nairobi. Wakati wa Tamasha za Muziki katika tarafa ya Nairobi, anagongana na Brenda Njoroge kiajali. Tangu kisa hicho Kip anashindwa kumsahau Brenda. Kip anajiunga katika kwaya... By Kandie

Karamu 5

KShs748.00
Hadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyeusi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto By "Bracey

Insha Sadikifu Shule za Msingi

KShs1,097.00
Insha Sadik Shule za Msing kitabu kilichoandikwa na walimu waliobobes katika ufundishaji na usahihisho wa insha kwenye shule za msingi nchini Kenya Uandishi wake umejiita kwenye silabasi mpya ya shule za msingi. Isitoshe, yaliyomo ndani ya kitabu hi By Obondo

EAEP: Masaibu ya Bintu: Intermediate J

KShs706.00
Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila... By Yahya Mutuku

Shabaha ya Nuru ya Fasihi

KShs1,360.00
Vitabu vingine katika msururu: 1. The A Finder Mathematics Revision Book 2. The A Finder English Paper I & III Workbook 3. The A Finder English Paper-II Revision Book 4. Shabaha ya Nuru ya Insha na Lugha 5.The A Finder Physics Revision Book By Harrison